Tuesday, June 25, 2019

FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019/2020

Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano Iguguno sekondari mnapaswa kupakua form ya kujiunga na shule hii katika website ya tamisemi.Halikadhalika mnakumbushwa kulipa ada na michango yote mnayopashwa kulipa.Kumbuka ya kwamba hautapokelewa wala kusajiliwa kama utakuwa haujalipa michango unayopaswa kulipa.

MAHALI SHULE ILIPO


Shule ya Sekondari Iguguno ipo Mkoa wa Singida Wilaya ya Mkalama, kilometa 32 toka Singida Mjini.


FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019/2020

Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano Iguguno sekondari mnapaswa kupakua form ya kujiunga na shule hii katika website ya...